Emmanuel John Nchimbi, ambaye ametangaza kujiuzulu nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania na kustaafu siasa na utumishi wa umma, amekuwa katika siasa na uongozi wa Serikali kwa zaidi ya miongo miwili.
"Yuda ni nani?" Hilo lilikuwa moja ya maswali yaliyotawala mjadala wa kisiasa nchini Tanzania katika wiki za mwisho za Julai na mwanzoni mwa Agosti 2026. Jina hilo lilitamkwa Bungeni na Mbunge wa ...
Mahakama ya Palacio de Justicia, iliyopo kwenye jiji la Santiago de Cuba, nchini Cuba, ilikuwa na utulivu wa hali ya juu. Mbele ya majaji watatu na askari 100 wenye silaha, chumba kizima kilikuwa ...
BANDARI Tanzania FC wanaonekana wanajipanga vilivyo na Ligi ya Championship msimu ujao wa 2026/2027 baada ya kupanda daraja msimu uliopita. Kwanza nasikia wamefanya mabadiliko katika benchi lao la ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results