Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimekubaliana kuchukuwa hatua za kupunguza hali ya wasiwasi baina yao ili kuhakikisha makubaliano yao ya amani yaliyosimamiwa na Marekani yanatekelezwa kikam ...
Katika muktada wa kukwamuwa mchakato wa amani mashariki mwa DRC ambao unaonekana kukwama, kufuatia kuendelea kushuhudiwa ...
Marekani imewaita maafisa wakuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Rwanda kwa mkutano mjini Washington, kujadili mchakato uliokwama wa kutafuta amani ya Mashariki mwa DRC.
Umoja wa Afrika (AU), Qatar, na Marekani zimeshiriki katika mkutano wa kamati hiyo mjini Washington, ulioanzishwa kama jukwaa la kushughulikia utekelezaji na utatuzi wa migogoro kwenye mkataba huo wa ...
Ghasia zinazoendelea mashariki mwa DRC licha ya kusainiwa kwa mkataba wa amani zimeendelea kuwa kikwazo kikubwa katika utekelezaji wa makubaliano hayo. Na Asha Juma, Ambia Hirsi & Mariam Mjahid Chanzo ...